Beka ibrozama
Beka ibrozama

Beka ibrozama

Dar-es-salaam

Naitwa Bakari Hassan Mselem, jina la usanii najulikana kama Beka Ibrozama.
Nimezaliwa Tanzania katika mkoa wa Dar-es-salaam na kabila langu ni mmwela kutoka kusini mwa Tanzania mkoa wa kilwa…