MKAA MBADALA UNAVYOWEZA KUPUNGUZA ATHARI ZA UHARIBIFU WA MAZINGIRA - BY Erasto Mgeni.MP3

MKAA MBADALA UNAVYOWEZA KUPUNGUZA ATHARI ZA UHARIBIFU WA MAZINGIRA - BY Erasto Mgeni.MP3

Erasto Paul

Kwa mujibu wa takwimu za serikali, Tanzania inapoteza kiasi cha hekta 400,000 za misitu kila mwaka kutokana na ukataji miti unaochochewa na matumizi ya kuni, mkaa, mbao, ujenzi ama uchomaji moto misitu.

Mkoa wa Dar es S…