Takwimu za Umoja wa Mataifa zinaonesha kuwa zaidi ya asilimia 61 ya watu walioajiriwa duniani, wanapata kipato chao kupitia ajira katika sekta isiyo rasmi. Kwa bara la Afrika, asilimia 85.8 ya ajira zote ni katika sekta …