JARIDANI 20 JULAI 2022 NA ASSUMPTA MASSOI- Sakata la chapati kupunguzwa ukubwa Malawi

JARIDANI 20 JULAI 2022 NA ASSUMPTA MASSOI- Sakata la chapati kupunguzwa ukubwa Malawi

UN News Kiswahili

Hii leo katika jarida tunamulika doria zinazoendeshwa na ujumbe wa Umoja wa Mataifa wa kulinda amani Sudan Kusini, UNMISS jimboni Tambura, kisha sakata la kupungua kwa ukubwa wa chapati huko kambini Dzaleka nchini Malawi…

Related tracks

See all