Jaridani 21 Juni 2022 na Leah  Mushi- Wakimbizi Hoima katika siku ya Wakimbizi duniani

Jaridani 21 Juni 2022 na Leah Mushi- Wakimbizi Hoima katika siku ya Wakimbizi duniani

UN News Kiswahili

Hii leo jaridani Leah Mushi anakuletea Mada kwa Kina inayotoka huko nchini Uganda kwake John Kibego ambaye amevinjari na kuzungumza na wakimbizi kuhusu simulizi za kule walikotoka na waliko hivi sasa .Mazingira yako vipi…

Related tracks

See all