JARIDA 27 07 2022 na Assumpta Massoi - Ghasia DRC tamko la UN na serikali, ubunifu wa Masoud Kipanya

JARIDA 27 07 2022 na Assumpta Massoi - Ghasia DRC tamko la UN na serikali, ubunifu wa Masoud Kipanya

UN News Kiswahili

Hii leo jaridani tunaanzia huko Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC ambako ghasia zinaendelea dhidi ya vituo vya Ujumbe wa Umoja wa Mataifa wa kulinda amani nchini humo, MONUSCO, walinda amani watatu wa UN wameuawa na …

Related tracks

See all