Mahojiano: "Madaraka hupewi unatwaa", Guterres atuma ujumbe kwa wanawake

Mahojiano: "Madaraka hupewi unatwaa", Guterres atuma ujumbe kwa wanawake

UN News Kiswahili

“Ni wakati wa kupiga kengele ya dharura”, amesema Katibu Mkuu wa UN katika mahojiano maalum na Idhaa ya Umoja wa Mataifa siku chache kabla ya kuanza kwa Mjadala wa Juu wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa.
Akihojiwa na Assu…

Related tracks

See all