Jarida la UN 06 Novemba 2023 na Assumpta Massoi

Jarida la UN 06 Novemba 2023 na Assumpta Massoi

UNRadio Kiswahili

Hii leo jaridani Assumpta Massoi anaanzia Mashariki ya Kati, mapigano huko Gaza siku ya 30, "imetosha" yasema mashirika ya kimataifa, kisha anakwenda Gambia, Magharibi mwa Afrika huko kalavati limeimarisha afya. Makala n…

Related tracks

See all