Makala- Bunduki kando, sasa ni jembe kulikoni? Kapt. Mwiijage Francis Inyoma anaripoti kutoka CAR

Makala- Bunduki kando, sasa ni jembe kulikoni? Kapt. Mwiijage Francis Inyoma anaripoti kutoka CAR

UN News Kiswahili

Wananchi wa Kijiji cha Difolo katika viunga vya mji wa Berberati mkoa wa Mambéré-Kadéï nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati, CAR wamewashukuru walinda amani wa kikosi cha 6 kutoka Tanzania kinachohudumu chini ya ujumbe wa Um…

Related tracks

See all