FAO yawashika mkono wasichana Afrika kuingia katika sayansi ya kilimo

FAO yawashika mkono wasichana Afrika kuingia katika sayansi ya kilimo

UN News Kiswahili

Katika kuelekea siku ya kimataifa ya wanawake na wasichana katika sayansi itakayoadhimishwa Jumapili Februari 11 shirika la chakula na kilimo la Umoja wa Mataifa FAO limesema katika Dunia ya sasa inayobadilika kwa kasi, …

Related tracks

See all