JARIDA LA HABARI ZA UN 22 JULAI 2025 NA LEAH MUSHI

JARIDA LA HABARI ZA UN 22 JULAI 2025 NA LEAH MUSHI

UN News Kiswahili

Jaridani leo tunakuletea mada kwa kina inayotupeleka nchini Tanzania kumulika SDG17 katika mazungumzo ya Mkurugenzi Mtendaji wa Mfuko wa Benki ya CRDB, Tully Esther Mwambapa na idhaa hii hivi karibuni hapa New York. Pia …

Related tracks

See all