Ulevi na matumizi ya dawa za kulevya inaathiri afya, pata usaidizi uondokane nazo

Ulevi na matumizi ya dawa za kulevya inaathiri afya, pata usaidizi uondokane nazo

UN News Kiswahili

Ripoti iliyotolewa jana na Shirika la Umoja wa Mataifa la Afya ulimwenguni WHO imesema mamilioni ya vifo vinachangiwa na unywaji pombe na matumizi ya dawa za kulevya na imetoa wito wa haraka wa kutekeleza lengo namba 3.5…

Related tracks

See all