Walinda amani wa UN kutoka Tanzania wasaidia watoto yatima huko Beni, DRC

Walinda amani wa UN kutoka Tanzania wasaidia watoto yatima huko Beni, DRC

UN News Kiswahili

Nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC, mapigano kati ya jeshi la serikali, FARDC na vikundi vilivyojihami, yamesababisha vifo na hata watu kufurushwa makwao. Watoto wamesalia yatima na hawana walezi. Vituo vya kul…

Related tracks

See all