EP 09: Wanafunzi wa Shule za Afrika Wanaelewa nini Kuhusiana na Ujasiriamali?

EP 09: Wanafunzi wa Shule za Afrika Wanaelewa nini Kuhusiana na Ujasiriamali?

KENEDY THE REMEDY

Je dhana ya Ujasiriamali inaeleweka kwa wanafunzi???
Je wanafunzi wanakuwa na mtazamo gani? Kenedy alipata nafasi ya kuzungumza na wanafunzi wa shule katika kufahamu maana ya ujasiriamali. Podcast Hii The Remedy alifanya…

Related tracks

See all