MAKALA- DRC Walinda amani wa UN kutoka Tanzania walenga kuhamasisha amani DRC kupitia Kiswahili

MAKALA- DRC Walinda amani wa UN kutoka Tanzania walenga kuhamasisha amani DRC kupitia Kiswahili

UN News Kiswahili

Kikundi cha tisa cha walinda amani kutoka Tanzania, TANZBATT-9, kinachohudumu chini ya ujumbe wa Umoja wa Mataifa wa kulinda amani nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC, MONUSCO kimeanza kusambaza daftari na vifaa…

Related tracks

See all