JARIDA LA HABARI ZA UN 20 MACHI 2025 NA ANOLD KAYANDA

JARIDA LA HABARI ZA UN 20 MACHI 2025 NA ANOLD KAYANDA

UN News Kiswahili

Hii leo jaridani katika mada kwa kina tunajikita katika mkutano CSW69 ambao umebakiza siku moja tu, kesho Machi 21 unakunja jamvi, na tunamsikia Dkt. Dorothy Gwajima, Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia Tanzania, Waziri…

Related tracks

See all