Habari za UN 16-08-2022 na Assumpta Massoi- Mada kwa kina na vijana Goma, DRC

Habari za UN 16-08-2022 na Assumpta Massoi- Mada kwa kina na vijana Goma, DRC

UN News Kiswahili

Hii leo jaridani tuna Habari kwa Ufupi zikiletwa kwako na Leah Mushi akimulika meli ya kwanza yenye shehena ya ngano kutoka Ukraine ikielekea Ethiopia ambako huko ngano hiyo itasambazwa kwa wahitaji wa kibinadamu. UNICEF…

Related tracks

See all