Makala: Baada ya mafuriko Kalehe, DRC, wananchi wahamasishwa kuyalinda mazingira

Makala: Baada ya mafuriko Kalehe, DRC, wananchi wahamasishwa kuyalinda mazingira

UN News Kiswahili

Muungano wa mashirika ya kiraia katika eneo la Kalehe jimboni Kivu Kusini, mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC wako katika harakati za kuhamasisha wananchi kupanda miti na kuchukua hatua nyingine zitakazo…

Related tracks

See all