Jaridani 13 Julai 2022 na Assumpta Massoi- Homa ya Ini, Haiti, Priscilla Lecomte, Kiswahili

Jaridani 13 Julai 2022 na Assumpta Massoi- Homa ya Ini, Haiti, Priscilla Lecomte, Kiswahili

UN News Kiswahili

Hii leo katika jarida tunamulika utafiti ambao WHO inafanya ili kubaini aina mpya ya ugonjwa wa homa ya ini kali au Hepatitis B ambayo inakumba watoto, ugonjwa umepatikana kanda zote za WHO isipokuwa Afrika. Kisha tunakw…

Related tracks

See all